Mon - Fri : 09:00 - 17:00
CWHRDs TZ as the secretariat of the Eastern Women Human Rights Defenders ...
Read MoreIn a reflection of the 25th of the UN Declaration of Human Rights Defenders side lined in the NGOs Forum..
Read MoreOn a side event during the 77th Session of ACHPR in Arusha, CWHRDs Tz National Coordinator, Hilda Stuart Dadu ....
Read MoreIn the ongoing NGOs Forum in line with the 77th Ordinary session of ACPHR, the National Coordinator of the Coalition ...
Read MoreCWHRDs Tz Programme Manager is one of participants of Training of Trainers on Participation and Engagement with .....
Read MoreCwhrds Tz is thrilled to be among the organizations implementing the project of women in peace in Kilwa District.
Read MoreMtandao wa Wanawake Watetezi wa haki za Binadamu Tanzania tumeweza kushiriki katika Jukwaa la Mashirika yasiyo ya kiserikali yanayofanyika Makao Makuu ya nchi Mkoani Dodoma kuanzia tarehe 3 hadi 5 mwezi wa 10. Mwaka 2023.
Read MoreKila Ijumaa Wanawake Watetezi tunakutana kuelimishana kuhusu katiba. Wiki hii tutaongelea historia ya Katiba na Mchakato mzima wa upatikanaji wa katiba ili kujikumbusha katika utendaji wetu wa kukuza, kulinda na kuzitetea haki za binadamu.
Last week, CWHRDs TZ participated in a planning and implementation meeting of the collaborative project on Women and Peace (Mwanamke na Amani) with @cyd_zanzibar and other CSOs in Tanzania Mainland and Zanzibar under @Sisterswithoughtboarders peace program supported by @Unitedstatepeaceinstitute (USPI). This project aims to capacitate women to take leadership in peace building and conflict resolutions in Districts of Kilwa, Bagamoyo and Kisarawe.
CWHRDs Tz wakiwa katika Kikao cha kuwapitisha Wanachama wa CWHRDs Tz na Wadau wengine kwenye Ripoti ya Matukio ya Ukatili wa Kingono baina ya Ndugu wa damu.
Read MoreCWHRDs Tz in a working session to review the Report of Incest and Rape cases related to SRHR. This report is based on information collected from some regions in April and May 2023.
Read MoreTZ Board of Directors and Secretariat participate in a four-day capacity building on financial Management,Personnel and Equipment in Bagamoyo from 24th to 27th January 2023.
Read MoreCWHRDs Tz wakiwa katika kikao kazi cha kupitia ripoti ya hali ya Wanawake Watetezi Tanzania. Ripoti ya tathmini iliyofanyika kati ya mwezi Septemba na Novemba 2022 ni muhimu kwa kazi za utetezi wa Mtandao na mashirika wanachama.
Read MoreMtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania wanafanya Warsha ya kuwajengea uwezo Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Wilaya ya Bagamoyo juu ya uwekaji kumbukumbu ya Matukio ya Ukatili wa Kijinsia unaohusiana na mabadiliko ya tabia Nchi na kupitia Mfano wa Sheria Ndogo Ndogo ya Mabadiliko ya Tabia Nchi na athari zake za Ukatili wa Kijinsia.
Read MoreCWHRDs Tz celebrated International Women Day in Tanga....
Read MoreMtandao watoa pesa za kujikimu kwa muhanga wa ukatili wa kijinsia.
Read MoreCWHRDs Conducted a National Dialogue on Women's Rights, GBV and Brutal Kilings.
Read MoreMtandao umelaani mauaji ya wanawake na watoto yanayoendela hapa nchini.
Read MoreMembers Registered
Cases Intervened
Projects Completed
Copyright © CWHRDs-Tanzania