Digital training

Mafunzo ya matumizi salama ya mitandao

Mtandao wa Wanawake Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (CWHRDs Tanzania) umetoa mafunzo ya namna bora ya matumiz ya mitandao ya kijamii kwa wanachama wake ambao ni wanawake watetezi wa haki za binamu.

Mafunzo haya yamelenga kutoa uelewa wa matumizi Sahihi ya Vifaa vya Kidigitali, kutunza na kuhifadhi taarifa za mtu binafsi na za taasisi au shirika. Mafunzo haya pia yanajengea uwezo viongozi Wanawake pamoja na Wanawake watetezi namna ya kushughulikia na kupunguza ukatili wa kijinsia unaofanyika kwenye mitandao ya kidigitali.

Members

66

Members Registered

Litigation

2

Cases Intervened

Projects

2

Projects Completed

Copyright © CWHRDs-Tanzania